Hapa na pale

UM Waungana na Sanaa ya Fasheni Kukabili njaa

UM Waungana na Sanaa ya Fasheni Kukabili njaa

Umoja wa Mataifa leo imetangaza kuanzisha mashirikiano ya karibu na waendeshaji wa sanaa za fasheni ili kukabiliana na tatizo la umaskini na kutoa msaada wa chakula kwa mamilioni ya wanawake na watoto wanaotabika duniani kote.

Sauti -

WFP Yaanza kutoa Vocha za Chakula kwa Wakimbizi wa Syria, Lebanon

WFP Yaanza kutoa Vocha za Chakula kwa Wakimbizi wa Syria, Lebanon

Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa, WFP, limeanza kutoa vocha za chakula ili kuwasaidia wakimbizi 40, 000 wa Syria,

Sauti -

MONUSCO yaongezewa Muda nchini DRC

MONUSCO yaongezewa Muda nchini DRC

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limerefusha muda wa kusalia nchini Congo vikiso vya kimataifa MUNUSCO vinavyoendesha operesheni ya amani. Vikosi hivyo sasa vimeongezewa muda wa mwaka mmoja mwingine utakaotumika kuboresha mazingira ya hali ya usalama.

Sauti -

Mkutano wa Rio watambua Umuhimu wa Mkataba wa CITES