Hapa na pale

Misri yadhamiria kuwachanja watoto milioni 12.5 katika kampeni ya Polio

Misri yadhamiria kuwachanja watoto milioni 12.5 katika kampeni ya Polio

Misri itazindua kampeni ya siku nne ya chanjo ya Polio April 21 ikiwalenga watoto milioni 12.5 walio chini ya umri wa miaka mitano wamesema maafisa wa serikali ya nchi hiyo.

Sauti -

Ban aonyesha wasiwasi wake kutokana na kuendelea kwa mkwamo wa kisiasa Guinea-Bissau

Ban aonyesha wasiwasi wake kutokana na kuendelea kwa mkwamo wa kisiasa Guinea-Bissau

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameelezea shaka  yake kufuatia kuendelea kuzorota kwa hali ya usalama nchini Guinea-Bissau ambako viongozi waliotwaa madaraka kwa nguvu wanazidi kupuuzilia

Sauti -

Ban ataka kumalizwa kwa mzozo kati ya Sudan na Sudan kusini

Ban ataka kumalizwa kwa mzozo kati ya Sudan na Sudan kusini

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amefanya mazungumzo mwishoni mwa wiki na waziri wa mambo ya kigeni nchini Sudan Ali Ahmed Karti ambapo amesistiza umihimu wa kusitishwa kwa mzozo uliopo kat

Sauti -

UM wapongeza mahakama ya India kwa kudumisha kipengee cha elimu kwenye katiba

UM wapongeza mahakama ya India kwa kudumisha kipengee cha elimu kwenye katiba

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya elimu Kishore Singh amepongeza hatua ya mahakamu moja nchini India ya kukidumisha kipengee kwenye katiba kinachohusu masomo ya bure kwa watoto.

Sauti -