Hapa na pale

Baraza la Usalama latathmini hali ya vikwazo kwa Ivory Coast

Baraza la Usalama latathmini hali ya vikwazo kwa Ivory Coast

Pamoja na hatua kuwa za zinazoshuhudiwa sasa nchini Ivory Coast lakini hata hivyo bado kuna mikwamo ya hapa na pale inayoiandama nchi hiyo .

Sauti -

UM wataka mataifa kupunguza matumizi kwenye maeneo ya kijeshi na kusaidia shughuli za maendeleo

UM wataka mataifa kupunguza matumizi kwenye maeneo ya kijeshi na kusaidia shughuli za maendeleo

Afisa wa Umoja wa Mataifa anayehusika na usalimishaji wa silaha amewapa shime viongozi wa dunia kutupia macho mienendo yao ya ufadhili kwenye maeneo ya ulinzi wa kijeshi na kisha kuanza kufiria kuchukua hatua za kuhakikisha kwamba vipaumbele zaidi vinawekwa kwenye maeneo ya maendeleo kwa mustakab

Sauti -

Mkutano kuhusu hali ya kibinadamu kuandaliwa Geneva

Mkutano kuhusu hali ya kibinadamu kuandaliwa Geneva

Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva imetangaza kuwa mkutano kuhusu hali ya kibinadamu nchini Syria unatarajiwa kuandaliwa siku ya Ijumaa. Wakurugenzi kutoka kwa idara zinazohusika na masuala ya kibinadamu kutoka nchi mbali mbali wanatarajiwa kuhudhuria mkutano huo mjini Geneva.

Sauti -

Kudhibiti maambukizi ya HIV Afrika ni muhimu katika kukabiliana na athari za muda mrefu:Benki ya dunia

Kudhibiti maambukizi ya HIV Afrika ni muhimu katika kukabiliana na athari za muda mrefu:Benki ya dunia

Bila kupunguza kwa kiasi kikubwa maambukizi ya HIV Afrika mipango iliyopo ya kitaifa ya kupambana na ukimwi haitoweza kuendelea kwa siku za usoni imeonya ripoti mpya ya Bank ya dunia.

Sauti -