Hapa na pale

Mashirika ya UM yataka kutolewa misaada kuwasaidia waathiriwa wa mafuriko Pakistan

Mashirika ya UM yataka kutolewa misaada kuwasaidia waathiriwa wa mafuriko Pakistan

Maafisa wa ngazi za juu kuhusu masuala ya kibinadamu kwenye Umoja wa Mataifa wamepongeza jitihada zinazoendelea za kuwasaidia watu milioni 7.2 walioathiriwa na mafuriko nchini Pakistan.

Sauti -

UNESCO kumtangaza Sunny Varkey kuwa balozi wake wa hisani

UNESCO kumtangaza Sunny Varkey kuwa balozi wake wa hisani

Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya elimu, sayansi na utamaduni UNESCO anatazamia kumtangaza Sunny

Sauti -

Coomaraswamy aelezea dhuluma kwenye mpaka kati ya Sudan na Sudan Kusini

Coomaraswamy aelezea dhuluma kwenye mpaka kati ya Sudan na Sudan Kusini

Mjumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu watoto na mizozo Radhika Coomaraswamy ameelezea hofu yake kufuatia makabiliano ya hivi majuzi kwenye sehemu zinazopakana na Sudan na Sudan Kusini huku

Sauti -

Ban aitaka Bahrain kuheshimu haki za msingi za binadamu

Ban aitaka Bahrain kuheshimu haki za msingi za binadamu

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametaka mamlaka za Bahrain kujiweka kando na matukio ya uvunjifu wa haki za binadamu na wakati huo huo amewatolea mwito viongozi wa taifa hilo kuwatendea ha

Sauti -