Hapa na pale

Sudan Kusini yaahidi kuwa na jeshi la serikali lisilohusisha watoto

Kundi la Sudanese People’s Liberation Army (SPLA) la Sudan Kusini leo limetia saini makubaliano na Umoja wa Mataifa yaitwayo “mpango wa hatua” wakirejea nia yao ya kuwaachilia watoto wote katika jeshi lao.

Sauti -

UM waendelea na jitihada za kuwalinda raia kutoka kwa kundi la LRA

UM waendelea na jitihada za kuwalinda raia kutoka kwa kundi la LRA

Katibu kwenye masuala ya kulinda amani ya Umoja wa Mataifa Herve Ladsous amesema kwamba vikosi vya Umoja wa Mataifa vimekuwa vikitoa huduma za kuwasindikiza wafanyibiashara kwenda sokoni pamoja na wale wanaohudhuria ibada kanisani.

Sauti -

Majaji wapya wa mahakama ya ICC waapishwa

Majaji wapya wa mahakama ya ICC waapishwa

Majaji wapya watano waliochaguliwa hivi karibuni kwa ajili ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC wameapishwa.

Sauti -

FAO yaomba dola milioni 68.9 ili kukabiliana na hali kwenye eneo la Sahel

FAO yaomba dola milioni 68.9 ili kukabiliana na hali kwenye eneo la Sahel

Shirika la kilimo na mazao la Umoja wa Mataifa

Sauti -

Haiti inapaswa kumteua Waziri Mkuu haraka iwezekanavyo:UM