Hapa na pale

Mjumbe wa UM eneo la Sahara Magharibi kufanya ziara ya eneo hilo mwezi Mei

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Sahara Magharibi ametangaza kwamba atalitembelea eneo hilo hasa eneo lilalozozaniwa.

Sauti -

Mataifa ya kiarabu yanakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji

Mataifa ya kiarabu yanakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji

Mataifa ya kiarabu sasa yametumbukia kwenye mkwamo wa ukosefu wa maji kutokana na ongezeko la kasi la watu na kuwepo kwa ongezeko la mahitaji ya chakula.
Sauti -

Hatima ya Thomas Lubanga kujulikana jumatano machi14

Hatima ya Thomas Lubanga kujulikana jumatano machi14

Uamuzi wa ama kuwa na hatia au kutokutwa na hatia dhidi ya kesi ya mpiganaji wa zamani kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Thomas Lubanga Dyilo kutolewa Jumatano na majaji wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu

Sauti -

Muafaka waafikiwa kuhusu umiliki wa ardhi na fursa za uvuvi na misitu:FAO

Muafaka waafikiwa kuhusu umiliki wa ardhi na fursa za uvuvi na misitu:FAO

Mazungumzo ya kimataifa yaliyofanyika kwenye makao makuu ya shirika la chakula na kilimo

Sauti -

UNMISS yalaani mashambulizi kwenye kambi ya Lou Nuer

Sudan Kusini yaahidi kuwa na jeshi la serikali lisilohusisha watoto