Hapa na pale

Ban ataka uchaguzi wa amani na huru Guinea-Bissau

Ban ataka uchaguzi wa amani na huru Guinea-Bissau

Wakati wananchi wa Guinea Bissau wakielekea kwenye uchaguzi mkuu hapo siku ya jumapili, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametaka kuwepo kwa hali ya amani na sura ya uwazi.

Sauti -

Ni mwaka mmoja tangu wimbi la mabadiliko ya kihistoria nchini Syria:Ban

Ni mwaka mmoja tangu wimbi la mabadiliko ya kihistoria nchini Syria:Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema leo ni mwaka moja tangu wimbi la mabadiliko ya Kihistoria kuikumba nchi ya Syria, raia waliposimama katika mitaa ya Damascus na kukata rufaa kwa aji

Sauti -

Wanajeshi watatu wa kulinda amani wa UM wamerejeshwa nyumbani kutoka Haiti

Wanajeshi watatu wa kulinda amani wa UM wamerejeshwa nyumbani kutoka Haiti

Walinda amani watatu wa Umoja wa Mataifa waliokuwa wakihudumu nchini Haiti wamerejeshwa nyumbani kufuatia kesi iliyokuwa ikiwakabili wa inayohusiana na kulawitiwa kwa kijana mmoja wa kiume mwenye umri wa 14.

Sauti -

UNICEF yapongeza uamuzi wa ICC dhidi ya uhalifu wa kivita kwa watoto

UNICEF yapongeza uamuzi wa ICC dhidi ya uhalifu wa kivita kwa watoto

Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limepongeza uamuzi wa leo wa mahakama ya

Sauti -

Mjumbe wa UM eneo la Sahara Magharibi kufanya ziara ya eneo hilo mwezi Mei