Hapa na pale

Ukosefu wa maji Palestina kufuatia uvamizi wa chemichemi kutoka kwa walowezi:UM

Ukosefu wa maji Palestina kufuatia uvamizi wa chemichemi kutoka kwa walowezi:UM

Mamia kwa maelfu ya wapalestina wamekosa vyanzo vya upataji  maji  kufuatia uvamizi uliofanywa na walowezi wa Israel ambao wamehodhi vyanzo vyote vinavyotoa maji katika eneo la ukingo wa Gaza.

Sauti -

Ban aipongeza Timor-Leste kwa kuendesha uchaguzi kwa amani

Ban aipongeza Timor-Leste kwa kuendesha uchaguzi kwa amani

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amewapongeza wananchi wa Timor-Leste kwa kuendesha uchaguzi katika mazingira ya amani hatua ambayo ameieleza kuwa ni kukaribisha machipuo mapya ya demokrasi

Sauti -

Ban alaani mashambulizi ya mabomu nchini Syria

Ban alaani mashambulizi ya mabomu nchini Syria

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amekashifu vikali mashambulizi ya mabomu yaliyotekelezwa kwenye mji mkuu wa Syria Damascus mwishoni mwa juma ambapo watu kadhaa waliuawa na wengi kujeruhiwa

Sauti -