Hapa na pale

“Askari wanaoshiriki vitendo vya ubakaji wasipatiwe kinga”

“Askari wanaoshiriki vitendo vya ubakaji wasipatiwe kinga”

Mkuu wa shughuli za kipolisi kwenye Umoja wa Mataifa ametaka kukomeshwa tabia ya kukingiwa kifua kwa askari wa kulinda amani ambao mara nyingi wanatumbukia kwenye vitendo vya uvunjaji haki kama kushiriki kwenye matukio ya ubakaji na utesaji wa raia.

Sauti -

Kobler alaani mashambulizi ya mabomu Iraq

Kobler alaani mashambulizi ya mabomu Iraq

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq amelaani vikali misururu ya mashambulizi kwenye miji kadha nchini Iraq ambapo watu kadha waliuawa na wengine kujeruhiwa.

Sauti -

Ban alaani vikali mashambulizi kwenye shule ya Kiyahudi Ufaransa

Ban alaani vikali mashambulizi kwenye shule ya Kiyahudi Ufaransa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani vikali matukio ya ufyatuaji risasi katika shule ya wayahudi Mjini Toulouse nchini Ufaransa ambako watu wanne walipoteza maisha ikiwemo watoto watat

Sauti -

UNRWA yazindua ahadi kumi kwa vijana

UNRWA yazindua ahadi kumi kwa vijana

Mkutano wa kimataifa wa siku mbili wenye kichwa “Kuwashirikisha Vijana: Wakimbizi wa Kipalestina katika kuibadilisha mashariki ya kati” ulioandaliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi wa Kipalestina UNRWA umekamilika hii leo mjini Brussels  ambapo kamishina mkuu wa URWA  Fili

Sauti -

IOM na washirika wawahamisha raia wa Mali walioko Niger

IOM na washirika wawahamisha raia wa Mali walioko Niger

Shirika la kimataifa  la uhamiaji IOM kwa ushirikiano na serikali ya Niger pamoja na shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNH

Sauti -