Hapa na pale

Ban azuru Korea Kusini na kujadilia kitisho cha nyuklia

Ban azuru Korea Kusini na kujadilia kitisho cha nyuklia

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amekuwa na mazungumzo na rais wa Korea ya Kusin Lee Myung-bak mjini Seoul.

Sauti -

Ban atoa heshima kwa wale wanaotetea ukweli na haki

Ban atoa heshima kwa wale wanaotetea ukweli na haki

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amewapongeza mashujaa kote duniani kutokana na mchango wao katika kulinda haki za binadamu pamoja na kuhakikisha kuwepo ukweli na haki.

Sauti -

Ofisi ya UM yaonya kuwa hakutakuwa na ulipizaji kizazi dhidi ya watetea haki za binadamu

Ofisi ya UM yaonya kuwa hakutakuwa na ulipizaji kizazi dhidi ya watetea haki za binadamu

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imeonya kuwa hakutakuwa na ulipizaji kisasi dhidi ya wale wanaopigania haki za binadamu nchini Sri Lanka kutokana na kutekelezwa kwa azimio na baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa kuhusu Sri Lanka.

Sauti -