Hapa na pale

Vikosi vya kulinda amani vya UM vitasalia nchini Liberia lakini kwa shabaha mpya

Vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa vitaendelea kusalia nchini Liberia lakini vinaazimia kuanzisha shabaha mpya ambayo itaweka zingatio zaidi kutokana na hali ya mambo ilivyo.

Sauti -

Idadi ya wanawake kwenye masuala ya kisiasa bado ni ya chini

Idadi ya wanawake kwenye masuala ya kisiasa bado ni ya chini

Chama cha bunge IPU kinasema kuwa hata kama mwaka 2011 ulishuhudia mabadiliko makubwa ya kisiasa na mabadiliko ya kidemokrasia kwenye sehemu tofauti za dunia, mwaka huo hata hivyo ulishuhudia idadi ndogo ya wanawake walioshiriki kwenye siasa.

Sauti -

Wakulima wa vijijini watakiwa kuwa na ushirikino wa kuzalisha chakula

Wakulima wa vijijini watakiwa kuwa na ushirikino wa kuzalisha chakula

Serikali kwenye nchi zinazoendelea ambazo zinakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula zimetakiwa kufanya ushirikiano na wazalisha na pia kuwa na ushirikiano ili kupambana na njaa.

Sauti -

Mfumo wa kupokea pesa kupitia simu za mikononi utachangia juhudi za kujenga makaazi: UM

Mfumo wa kupokea pesa kupitia simu za mikononi utachangia juhudi za kujenga makaazi: UM

Manusura wa tetemeko kubwa la ardhi lililoikumba nchi ya Haiti hatimaye wameanza kupokea fedha kupitia mfumo mpya wa simu za mikononi .

Sauti -

Maambukizi ya kipindupindu yameongezeka kwa mara kumi zaidi ya takwimu za hapo awali

Maambukizi ya kipindupindu yameongezeka kwa mara kumi zaidi ya takwimu za hapo awali

Shirika la Afya Duniani WHO limesikitishwa na takwimu za ripoti ya maambukizi ya ugonjwa wa kipindupindu ambazo zimeongezekakwa mara kumi zaidi ikilingananish

Sauti -