Hapa na pale

Ban aelezea huzuni yake kufuatia kifo cha kiongozi wa DPRK

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameelezea huruma yake leo kwa mamilioni ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Korea DPRK wanaoomboleza kifo cha kiongozi wao Kim Jong-il aliyefariki

Sauti -

Pillay alaani matumizi ya nguvu kwa waandamanaji Misri

Pillay alaani matumizi ya nguvu kwa waandamanaji Misri

Kamishna wa haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa Navi Pillay amelaani vikali hatua ya vikosi vya kijeshi kuyaandama na kuyasambaratisha maandamano ya amani yaliyowakusanyisha mamia ya wananchi walipanga kuelekea kwenye uwanja wa Tahrir mjini Cairo kupinga mwenendo wa utawala wa kijeshi.

Sauti -

UM wazindua muongo wa viumbe ili kuzuia kutoweka kwa familia za viumbe

UM wazindua muongo wa viumbe ili kuzuia kutoweka kwa familia za viumbe

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki–moon ametaka kuwe na urafiki kati ya ubinadamu na viumbe vingine kama moja ya njia ya kulinda manufaa yake kwa vizazi vijavyo.

Sauti -

Wajasiliamali wa Kiafrika wapata tuzo ya UM

Wajasiliamali wa Kiafrika wapata tuzo ya UM

Kampuni moja nchini Gambia ambayo imefanikiwa kuleta teknolojia ya aina yake na nyingine nchini Kenya ambayo inamilikiwa na wanawake wanaotengeneza mafuta yanayoweza kuistamilisha ngozi ni miongoni mwa kampuni zilizoshinda tuzo la Umoja wa Mataifa kutokana na mchango wake wa kusaidia maendeleo en

Sauti -

Ocampo asisitiza haja ya kukamatwa kwa rais wa Sudan

Ocampo asisitiza haja ya kukamatwa kwa rais wa Sudan

Mwendesha mashtaka katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu ICC amerejelea tena mwito wa kukamatwa na kufikishwa kwenye mahak

Sauti -