Hapa na pale

Ufadhili kutoka UM kuwasaidia wakulima nchini Lesotho

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na kuboresha maisha ya watu maskini wanaoishi vijijini linatoa dola milioni 10 ili kuwasaidia wakulima wadogo nchini Lesotho kuboreshaa kilimo.

Sauti -

Kumalizika kuondoka kwa vikosi vya Marekani Iraq kutaharakisha ujenzi imara wa taifa hilo:Ban

Kumalizika kuondoka kwa vikosi vya Marekani Iraq kutaharakisha ujenzi imara wa taifa hilo:Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema kuwa hatua ya kuondoka kwa vikosi vya Marekani nchini Iraq ni sawa na kusema kufunguliwa kwa ukurasa mpya katika historia ya nchi hiyo, ukurasa amba

Sauti -

Matumizi ya mmea wa Khat kama dawa ya kulevya wazua matatizo ya kiafya nchini Djibouti

Matumizi ya mmea wa Khat kama dawa ya kulevya wazua matatizo ya kiafya nchini Djibouti

Shirika la afya duniani WHO linasema kuwa matumizi ya mmea ujulikanao kama Khat limekuwa tatizo kubwa nchini Djibouti.

Sauti -

UNICEF yakaribisha hatua ya Israel kuwaachilia wafungwa watoto wa Palestina

UNICEF yakaribisha hatua ya Israel kuwaachilia wafungwa watoto wa Palestina

Umoja wa Mataifa umekaribisha kuachiliwa huru kwa watoto 55 wa Kipalestina waliokuwa wakishikiliwa na Israel ikiwa sehemu ya mpango kwa pande hizo mbili kubadilishana wafungwa mpango ulioasisiwa miezi miwili iliyopita.

Sauti -

Ban aelezea huzuni yake kufuatia kifo cha kiongozi wa DPRK