Hapa na pale

Ban alaani mauwaji ya waandamanaji Syria

Ban alaani mauwaji ya waandamanaji Syria

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani vikali tukio la kushambuliwa waandamanaji wa Syria iliyosababisha watu kadhaa kupoteza maisha na ameitaka serikali nchini humo kuzuia matumizi ya n

Sauti -

Mazungumzo kuhusu Cyprus yapiga hatua

Mazungumzo kuhusu Cyprus yapiga hatua

Kumeripotiwa mafanikio kwenye mazungumzo ya siku mbili kati ya viongozi wa Cypriot nchini Ugiriki na Uturuki pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon.

Sauti -

Kila watu saba, watano kati yao hawana uhakika wa ustawi wa kijamii

Kila watu saba, watano kati yao hawana uhakika wa ustawi wa kijamii

Kundi la wataalamu wa mambo limetoa mwito likizitaka serikali duniani kuongeza mafungu ya kipato na kuboresha hali ya ustawi wa kijamii ili hatimaye kufadhilia amani na usalama pamoja na ukuzaji uchumi.

Sauti -

UM wataka kuweko shabaha ya pamoja kukabili tatizo la ukosefu wa kazi duniani

UM wataka kuweko shabaha ya pamoja kukabili tatizo la ukosefu wa kazi duniani

 Jamii ya kimataifa imehimizwa kuweka zingatio la pamoja kwa kushagihisha mifumo yake ili hatimaye iweze kufaulu kukabili tatizo la ajira linaloiandama dunia kwa sasa.

Sauti -

WFP yaweka lugha ya kichina kwenye mtandao