Hapa na pale

Vijana wengi Misri wanataka kuondoka nchini humo:IOM

Vijana wengi Misri wanataka kuondoka nchini humo:IOM

Utafiti uliofanywa na shirika la umoja wa mataifa linalohusika na uhamiaji IOM  nchini Misri,umebainisha kuwa vijana wengi nchini humo bado wanashauku ya kwenda sehemu nyingine lakini hata hivyo mabadiliko ya kisiasa yaliyojotokeza hivi karibuni yanawatatiza kufia maumuzi ya moja kwa moja.

Sauti -

UM waipongeza Ghana kwa huduma za afya

UM waipongeza Ghana kwa huduma za afya

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za kuwa na afya Anand Grover ameipongeza serikali ya Ghana kutokana na kujitolea kwake katika kuwahakikishia wananachi wake haki ya afya.

Sauti -

Uhalifu ulifanyika nchini Sri Lanka:HYNES

Uhalifu ulifanyika nchini Sri Lanka:HYNES

 

Mtaalamu wa masuala ya haki za kibinadamu wa Umoja wa Mataifa anasema kuwa anaamini uhalifu mkubwa ulitendeka wakati wa mwisho mwisho wa mapigano nchini Sri Lanka. 

Sauti -

Mipango ya kurejea nyumbani kwa wakimbizi nchini Chad yaanza

IOM kuonyesha filamu inayooesha hatari za uhamiaji haramu miongoni mwa watoto.

IOM kuonyesha filamu inayooesha hatari za uhamiaji haramu miongoni mwa watoto.

Filamu iliyoundwa na shirika la kimataifa la uhamiaji IOM iliyo na lengo la kutoa hamasisho kuhusu hatari ya kuhama kusiofuata sheria miongoni mwa watoto nchini Misri walio na nia ya kuingia nchini Italia itaonyeshwa tarehe 30 mwezi huu mjini Cairo kama moja ya njia ya kuunga mkono uhamiaji unaof

Sauti -