Takribani watoto 12 wameuawa kaskazini-magharibi mwa Syria tangu tarehe 20 mwezi uliopita wakati huu ambapo ghasia zinazidi kwenye ukanda ambao haupaswi kuwa na mapigano.
Takriban watoto 120 wagonjwa mahututi waliokwama kwenye eneo linalozingirwa la mashariki mwa Ghouta nchini Syria wanahitaji kuhamishwa haraka kutoka eneo hilo ili wakatibiwe, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto