haki za binadamu

Inahitaji utashi wa serikali kutekeleza ibara za haki za binadamu

Ibara ya 14 ya tamko la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa  inaeleza kuwa kila mtu ana haki ya kusaka na kuomba hifadhi katika nchi nyingine ikiwa anateswa nchini mwake.Katika mazungumzo na Arnold Kayanda, Mwanasheria, Wakili wa mtandao wa watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania, Jones Sen

Sauti -
3'2"

Azimio la kuwatendea haki wazee lakaribishwa na mtaalam huru

Mtaalam huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu kufurahia haki za binadamu za wazee, Rosa Kornfeld-Matte, amepongeza kupitishwa kwa azimio la Vienna kuhusu haki za binadamu za wazee wakati wa mkutano wa kimataifa uliofanyika tarehe 12 na 13 Novemba 2018 mjini Vienna.

Je wajua maana ya haki ya faragha kwa mujibu wa tamko la haki za binadamu?

Mtu ana  haki ya kuwa na faragha katika maisha yake na hii ni kwa mujibu wa ibara ya 12 ya tamko la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa.

Sauti -
2'50"

Mara nyingi haki za watu wengi hubinywa kutokana na sababu kama vile, vita, mfumo wa utawala na hata mgawanyiko katika jamii.

Tamko la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa Ibara ya 6 inasema kila mtu anayo haki, binafsi au kwa ushirikiano na wengine, kuanzisha na kujadili dhana na kanuni mpya za haki za binadamu na kuzitetea ili zikubalike.” Lakini mara nyingi watu hawapati fursa ya kufanya hi

Sauti -
4'31"

07 Oktoba 2018

Katika jarida la Umoja wa Mataifa leo Siraj Kalyango anaangazia

-Chanjo ya Ebola kwa wahudumu wa afya Uganda imeanza katika kujihadhari kabla ya shari

Sauti -
11'35"

06 Oktoba 2018

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa Grace Kaneiya anakuletea

-Ripoti ya mashirika ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya lishe na uhakika wa chakula duniani

-Leo ni siku ya kimataifa ya kuzuia uharibifu wa maziriga kwenye mizozo

Sauti -
11'29"

Saudia yajutia mauaji ya Khashoggi

Saudi Arabia imeelezea “kujuta na machungu” kwa mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi, wakati wa mkutano wa tathimini uliofanyika leo mjini Geneva Uswis na huku ikisisitiza ahadi yake ya kufikia "viwango vya juu zaidi" katika masuala ya haki za binadamu nchini humo, ikiwa ni pamoja na haki za wanawake na wahamiaji.

Hukumu ya kifo sio dawa ya uhalifu- Bwana Ouko

Ibara ya tatu ya  haki za bindamu inasema kuwa kila mtu ana haki ya kuishi, haki ya kuwa huru na kulindwa. Lakini  mara nyingine haki hii hukiukwa kwa sababu mbali mbali.

Sauti -
3'46"

Tanzania bado kuna changamoto ya utekelezaji wa haki za binadamu

Tamko la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa mwezi disemba mwaka huu wa 2018 linatimiza miaka 70. Tamko hilo ni msingi wa haki za binadamu ulimwenguni kote na lilipitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwaka 1948.

Sauti -
4'9"

01 Novemba 2018

Jaridani  hii leo tunaanzia Yemen ambako hali ya kibinadamu inazidi kuzorota na leo inaelezwa kuwa janga la njaa linalokumba nchi hiyo ni janga baya zaidi kuwahi kusababishwa na binadamu.

Sauti -
12'16"