haki za binadamu

Hakuna mpito usio na msukosuko: Zeid

Kamishina Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Zeid Ra'ad Al Hussein amehitimisha ziara yake nchini Ethiopia na kusema licha ya changamoto na misukosuko waliyopitia raia wa nchi hiyo kuna matumaini ya mambo kutengamaa.

UN na AU waimarisha mkakati kulinda haki za binadamu

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika AU wamefikiana kuimarisha mikakati yao ya ushirika katika kuzuia na kushughulikia ukatili na ukiukwaji wa haki za binadamu barani Afrika kabla haujawa janga kubwa.

Boko Haram warejesheni watoto waliotekwa 2013 Nigeria: UNICEF

Watoto zaidi ya 1000 waliotekwa Kaskazini Mashariki mwa Nigeria tangu 2013 bado hawajapatikana hadi leo na hii si haki limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF

Sauti -
1'11"

Tujitathmini kabla ya kunyooshea vidole wahamiaji

Je wangapi kati yetu ndani ya familia zetu tuna historia ya uhamiaji zinazoimarisha urithi wa tamaduni zetu?