Kimbunga Hagibis kikiacha uharibifu mkubwa, UN yaiongeza Japan kwa mnepo
Wakati kimbunga Hagibis kilichotokana na upepo na mvua kubwa za Typhoon na kusababisha uharibifu mkubwa na kupotea kwa maisha ya watu nchini Japan, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameipongeza Japan kwa kuwa na mnepo dhidi ya mabadiliko ya tabianchi.