Habari za wiki

Matukio ya mwaka 2012

Hatimaye mwaka 2012 umefikia ukingoni.

Sauti -

Matukio ya mwaka 2012

Mafuriko Pakistani: Maelfu bado wahaha bila makazi ya kudumu

Maelfu ya wananchi wa Pakistan ambao waliathiriwa na mafuriko ya mwezi wa Septemba bado hawajarejea kwenye maeneo yao ya awali.

Sauti -

Mafuriko Pakistani: Maelfu bado wahaha bila makazi ya kudumu

Teknolojia yatumika kurahisisha huduma kwa wakimbizi wa Sudan Kusini

Teknolojia mpya na ya kisasa ndiyo iliyotajwa kusaidia kwa kiasi kikubwa katika kuyafikia mahitaji ya wakimbizi wengi wa Sudan Kusin.

Sauti -

Teknolojia yatumika kurahisisha huduma kwa wakimbizi wa Sudan Kusini

IOM yakamilisha utoaji wa misaada Mashariki mwa DRC

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limekamilisha oparesheni ya siku nne ya kuwagawia misaada isiyo chakula watu 6,500 waliohama makwao mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.

Sauti -

IOM yakamilisha utoaji wa misaada Mashariki mwa DRC

Mengi yalitimizwa mwaka 2012: WHO

Shirika la afya duniani WHO limefanya tathmini ya kazi yake mwaka 2012 hasa jitihada za kukabiliana na magonjwa likisema kuwa mengi yalitimizwa mwaka huu ikiw

Sauti -

Mengi yalitimizwa mwaka 2012: WHO