Habari za wiki

Nambari 109 yaokoa maisha yangu- Egide

Nchini Burundi mfumo wa kupiga simu wakati wa dharura umeokoa maisha ya wengi akiwemo mwananchi mmoja ambaye alitekwa mwezi Aprili mwaka huu.

Sauti -

Nambari 109 yaokoa maisha yangu- Egide

ICTY muasisi wa haki duniani- Guterres

Hatimaye mahakama ya kimataifa iliyokuwa inaendesha kesi za uhalifu uliofanyika kwenye iliyokuwa Yugoslavia, imefunga pazia rasmi leo baada ya kuhudumi kwa miaka 24.

Sauti -

Azimio dhidi ya Marekani lapita, yenyewe yasema halina maana

Ukumbi wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo Alhamisi uligubikwa na maneno ya vijembe wakati wawakilishi wa nchi 193 wanachama wa Umoja huo walipokuwa wanatoa maoni yao kabla ya kupiga kura ya kutaka Marekani ibadili uamuzi wake wa kutambua Yerusalem kama mji mkuu wa Israel.

Sauti -

Azimio dhidi ya Marekani lapita, yenyewe yasema halina maana

Chondechonde wahisani wakimbizi wa Somalia bado wanawahitaji: Grandi

Kamishina mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR bwana Filipo Grandi ametoa wito wa usaidizi zaidi kwa wakimb

Sauti -

Chondechonde wahisani wakimbizi wa Somalia bado wanawahitaji: Grandi

WHO yatoa tani 70 ya vifaa vya Hispitali Yemen

Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni WHO, limepeleka  tani 70 za misaada ya kibinadamu ikiwemo vifa upasuaji kwajili ya hospitali katika mji mkuu S

Sauti -

WHO yatoa tani 70 ya vifaa vya Hispitali Yemen

Umoja wa Mataifa watambua rasmi ufugaji nyuki

Hatimaye ufugaji nyuki duniani umepigiwa chepuo baada ya Umoja wa Mataifa kupitisha azimio kuwa kila mwaka kuanzia tarehe 20 mwezi mei mwakani itakuwa ni siku ya ufugaji nyuki ulimwenguni. Selina Jerobon na ripoti kamili.

(Taarifa ya Selina)

Sauti -