Habari za wiki

Maisha baada ya vita kwa wapiganaji wa zamani CAR :FAO

Zaidi ya wapiganaji wa zamani 1000 nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR wamejiunga na mradi unaofadhiliwa na shirika la chakula na kilimo

Sauti -

Maisha baada ya vita kwa wapiganaji wa zamani CAR :FAO

IOM na taasisi ya Panzi na usaidizi kwa manusura wa ukatili wa kingono DRC

Ukiukwaji mkubwa wa haki za wanawake na watoto ikiwemo ukatili wa kingono na utumikishaji watoto kwenye maeneo ya migodi huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC umesababisha Umoja wa Mataifa na wadau wake kuchukua hatua kuepusha zahma zaidi miongoni mwa makundi hayo.

Sauti -

IOM na taasisi ya Panzi na usaidizi kwa manusura wa ukatili wa kingono DRC

Bila huduma dhidi ya VVU ningalikuwa mfu hivi sasa- Mpho

Ikiwa leo ni siku ya Ukimwi duniani, ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa linaloongoza harakati dhidi ya Ukimwi, UNAIDS imeon

Sauti -

Bila huduma dhidi ya VVU ningalikuwa mfu hivi sasa- Mpho