Habari za wiki

Wakimbizi washerehekea Krismasi kwa aina yake

Sikukuu ya krismasi imesherehekewa kwa aina yake katika kambi ya wakimbizi wa ndani mjini Juba nchini Sudan kusini kwa hali ya yakupendeza.

Sauti -

Sikukuu ya noeli yasherekewa kiaina yake Juba

Mbio za Marathoni zaleta pamoja wakazi wa Goma na Kalemie

Upishi wa chakula wakati wa sikukuu; Zingatia haya

Ikiwa nyakati za mwisho wa mwaka ni nyakati za watu kuburudika na kula milo ya aina mbalimbali, shirika la chakula na kilimo duniani,

Sauti -

Patia wageni vyakula badala ya kutupa- FAO

Japan yasaidia kuimarisha ulinzi wa amani

Mkuu wa operesheni za amani mashinani kwenye Umoja wa Mataifa Atul Khare  amesema mradi wa pande tatu unaohusisha Japan, Afrika na Umoja wa Mataifa umezaa matunda katika kuimarisha operesheni za ulinzi wa amani.

Sauti -

Japan yasaidia kuimarisha ulinzi wa amani

Wakimbizi walioko Uganda wazungumzia krismasi yao

Nchini Uganda, maelfu ya wakimbizi kutoka nchi jirani za Sudan Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC wamesaka hifadhi kutokana na machafuko nchini mwao. Je kwao wao sikukuu ya Krismasi iko vipi?

Sauti -

Wakimbizi walioko Uganda wazungumzia krismasi yao