Habari za wiki

Tumakinike ili tulinde mali za kitamaduni kwenye mizozo- Azoulay

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limepokea ripoti ya utekelezaji wa azimio lake la ambalo pamoja na mambo mengine linalaani uharibifu na usafirishaji wa mali za kitamaduni kwenye eneo yenye vita, kitendo ambacho kinafanywa na vikundi vya kigaidi.

Sauti -

Tumakinike ili tulinde mali za kitamaduni kwenye mizozo- Azoulay

Tamasha la Kusini-Kusini 2017 lakunja jamvi Uturuki

Tamasha la kimataifa la ushirika wa Kusini-Kusini mwaka 2017 leo limekunja jamvi mjini Antalya Uturuki huku umoja wa Mataifa na wadau wakifurahia matokeo .

Sauti -

Tamasha la Kusini-Kusini 2017 lakunja jamvi Uturuki

Pambaneni na magonjwa ya kilimo na mifugo: FAO

Kuna uhitaji wa haraka wa kuongeza mapambano ya wadudu  waharibifu wa mimea na magonjwa yanayoenea hasa maeneo ya mipakani na kuathiri mifugo na mimea.

Sauti -

Pambaneni na magonjwa ya kilimo na mifugo: FAO

Ukata waleta zahma kwa wakimbizi wa Burundi huko Tanzania:UNHCR

Maelfu ya wakimbizi wa Burundi wanaishi katikia hali mbaya kwenye makambi nchini Tanzania kwa sababu ya ukata wa fedha limesema leo shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -

Ukata waleta zahma kwa wakimbizi wa Burundi huko Tanzania:UNHCR

Tamthilia ya kuhimiza maelewano baada ya mifarakano Uganda yashinda tuzo UNAOC

Jane Ajuang kutoka shirika la kiraia la Media Focus on Africa nchini Uganda ameshinda tuzo ya mwaka huu ya muingiliano wa kiutamaduni duniani.

Sauti -

Tamthilia ya kuhimiza maelewano baada ya mifarakano Uganda yashinda tuzo UNAOC