Habari za wiki

Juhudi zaidi zinahitajika ili kuwekeza katika kawi inayojali mazingira-UNEP

Serikali na asasi za kiraia zinahitaji kuongeza juhudi kuhakikisha kwamba makubaliano ya mkataba wa mabadiliko ya tabianchi wa Paris yanafikiwa.

Sauti -

Juhudi zaidi zinahitajika ili kuwekeza katika kawi inayojali mazingira-UNEP

Mateso ya watoto vitani ni aibu yetu wenyewe- Guterres

Kiashirio hicho cha kutoka kwa kiongozi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mwezi huu wa Oktob, nafasi ambayo inashikiliwa na Ufaransa. Anatangaza kuanza kwa mjadala wa wazi  na hivyo kila mjumbe awe sawa.

Sauti -

Mateso ya watoto vitani ni aibu yetu wenyewe- Guterres

Watu 12 wauawa katika shambulio la anga Libya:UNSMIL

Watu 12 wameuawa na wengine saba kujeruhiwa katika shambulio la anga dhidi ya makazi ya raia eneo la Derna nchini Libya usiku wa kuamkia leo.

Sauti -

Watu 12 wauawa katika shambulio la anga Libya:UNSMIL

Ukosefu wa uongozi bora mijini ni tatizo katika ukuaji wa miji- UNHABITAT

Hii leo ni siku ya kimataifa ya miji ambapo Umoja wa Mataifa unapigia chepuo ubunifu katika usimamizi wa miji sambamba na kuhakikisha inajumuisha kila mtu bila ubaguzi. Flora Nducha na ripoti kamili.

(Taarifa ya Flora)

Sauti -

Ukosefu wa uongozi bora mijini ni tatizo katika ukuaji wa miji- UNHABITAT

Jukwaa laanza Bahrain likiangazia ujasiriamali na SDGs

Jukwaa la kimataifa kuhusu uwekezaji katika ujasiriamali linaanza leo huko Manama nchini Bahrain kwa lengo la kuimarisha uhusiano kati ya uwekezaji, ujasiriamali na malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.

Sauti -

Jukwaa laanza Bahrain likiangazia ujasiriamali na SDGs