Habari za wiki

Usipowezeshwa hata kama si mlemavu , utalemaa

Kuwa mlemavu sio kulemaa isipokuwa la msingi na kujumuisha ili nawe uweze kutoa mchango wako katika familia, jamii n ahata taifa kwa ujumla.

Sauti -

Usipowezeshwa hata kama si mlemavu , utalemaa

Wasyria wasilipe gharama ya mkwamo wa kisiasa- O’Brien

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Syria Staffan de Mistura akihutubia kwa njia ya video kutoka Geneva, Uswisi (Picha:UN/Kim Haughton)Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limeshauriwa kusaka njia ya kuondokana na mwelekeo wa sasa huko Syria ambako raia wasio na hatia wanalipa gharama y

Sauti -

Wasyria wasilipe gharama ya mkwamo wa kisiasa- O’Brien

Zeid ataka hatua zichukuliwe dhidi ya Venezuela

Uhuru wa kujieleza unabanwa nchini Marekani na hili lina madhara. Hii ni kwa mujibu wa Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa , Zeid Ra'ad Al Hussein wakati akihutubia waandishi wa habari mjini Geneva Uswisi kuhusu hali inyaoendelea kuzorota nchini Venezuela.

Sauti -

Zeid ataka hatua zichukuliwe dhidi ya Venezuela

Wapalestina ungananeni kwa misingi ya PLO- Guterres

Katika siku ya mwisho ya ziara yake huko Mashariki ya Kati, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesihi kuwepo kwa umoja kati ya wapalestina wa eneo hilo la Gaza na wale w

Sauti -

Wapalestina ungananeni kwa misingi ya PLO- Guterres