Habari za wiki

Kisiwa cha Tonga chafanikiwa kutokomeza matende:WHO

Ufalme wa Tonga , kisiwa katika bahari ya Pacific ni kidogo na idadi ya watu wake ni wachache lakini kinafanikiwa kutimiza malengo makubwa ya kiafya umesema leo Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Kisiwa cha Tonga chafanikiwa kutokomeza matende:WHO

Al-Shabaab yakatili maisha ya askari 12 wa Uganda Somalia

Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Michael Keating, leo ametuma salamu za rambirambi kwa wafanyakazi na familia za askari kutoka Uganda wa kulinda amani wa muungano wa Afrika nchini Somalia AMISOM waliouawa katika shambulio kwenye jimbo la Lower Shabelle jana jumapili.

Sauti -

Al-Shabaab yakatili maisha ya askari 12 wa Uganda Somalia

Asilimia 80 ya vijana watumia intaneti: ITU

Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la muungano wa habari na Tekinologia ya mawasiliano (ITU), inaonyesha kuwa idadi ya vijana wanaotumia mtandao wa intaneti inazidi kuongezeka, wakisalia na mchango wa asilimia kubwa zaidi ya watumiaji wa mtandao huo kote duniani, huku wanaotumia Mobile Br

Sauti -

Asilimia 80 ya vijana watumia intaneti: ITU

Vita dhidi ya ubaguzi wa rangi lazima vifanikiwe:UM

Vita dhidi ya mifumo yote ya ubaguzi wa rangi ni lazima vifanikishwe kwani mamilioni ya watu wanapitia mifumo mbalimbali ya ubaguzi wa rangi duniani pasi sababu yoyote. Grace Kaneiya na taarifa zaidi.

(TAARIFA YA GRACE)

Sauti -

Vita dhidi ya ubaguzi wa rangi lazima vifanikiwe:UM

Mkuu mpya wa UNSMIL kuisaidia Libya kutoka kwenye sokomoko

Kazi ya kuisaidia Libya kujikwamua kutoka kwenye sokomoko la kisiasa ndio kipaumbele cha kwanza cha mkuu mpya mteule wa mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Libya UNSMIL.

Sauti -