Habari za wiki

Licha ya mzozo, wakimbizi wa Syria warejea nyumbani- UNHCR

Idadi ya raia wa Syria wanaoishi ukimbizini nje ya nchi yao au wale walio wakimbizi wa ndani imeripotiwa kuimarika.

Sauti -

Licha ya mzozo, wakimbizi wa Syria warejea nyumbani- UNHCR

Neno la Wiki- Songobingo, Sokomoko na Segemnege

Katika neno la wiki hii leo tunaangazia maneno songobingo, sokomoko na segemnege. Mchambuzi wetu  ni Nuhu Zuberi Bakari, ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa masuala ya mawasiliano kwenye Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA.

Sauti -

Neno la Wiki- Songobingo, Sokomoko na Segemnege

Mjumbe mpya wa UM Burundi akutana na Rais Nkurunziza

Mjumbe mpya maalumu wa katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa nchini Burundi Michel Kafando amefanya ziara nchini humo kujitambulisha katika jukumu lake la kusaidia kumaliza mgogoro wa kisiasa nchini humo.

Sauti -

Mjumbe mpya wa UM Burundi akutana na Rais Nkurunziza

Maendeleo endelevu bila kujali haki za binadamu ni bure- Mtaalamu

Wakati dunia inaendelea na mchakato wa kutekeleza malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, serikali na wafanyabiashara wametakiwa kuweka sheria na kanuni zinazoweka mbele maslahi ya watu na si faida.

Sauti -

Maendeleo endelevu bila kujali haki za binadamu ni bure- Mtaalamu

Hofu yaongezeka machafuko yakishika kasi CAR-UNHCR

Kuzuka upya kwa machafuko yanayoshuhudiwa katika baadhi ya sehemu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR, kunalitia hofu shirika la Umoja wa Mastaifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -

Hofu yaongezeka machafuko yakishika kasi CAR-UNHCR