Habari za wiki

Surua yashambulia kwa kasi Ulaya: WHO

Kama ulifikiri surua inashambulia bara Afrika pekee, lahasha!

Sauti -

Surua yashambulia kwa kasi Ulaya: WHO

UNICEF na wadau wasaidia zaidi ya 145,000 kwenye baa la njaa Sudan kusini:

Mwezi mmoja tangu kutangazwa kwa baa la njaa katika baadhi ya sehemu nchini Sudan kusini , shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia watoto UNICEF,

Sauti -

UNICEF na wadau wasaidia zaidi ya 145,000 kwenye baa la njaa Sudan kusini:

Ni wakati wa washawishi wa mzozo Syria kuweka kando tofauti zao:Guterres

Wakati mazungumzo ya amani ya Syria yameanza tena Geneva naziomba pande zote katika mzozo na hususani nchi zenye ushawishi kuelewa kwamba ni lazima kuleta amani Syria. Amina Hassan na taarifa kamili

(TAARIFA YA AMINA)

Sauti -

Ni wakati wa washawishi wa mzozo Syria kuweka kando tofauti zao:Guterres

YWCA yaazimia kuinua wanawake Tanzania: Dk Grace

Mkutano wa 61 wa hadhi ya wanawake CSW 61 ukiwa umemalizika mjini New York, shirika la wasichana Wakristo nchini Tanzania YWCA  limesema lithakikisha linatekeleza maazimio ya kuwaendeleza wanawake katika nyanja kadhaa ikiwamo uchumi.

Sauti -

YWCA yaazimia kuinua wanawake Tanzania: Dk Grace

Harakati za kutokomeza nyuklia zaanza, nchi 40 zasema hazitoshiriki

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo limeanza awamu ya kwanza ya mkutano wake wa kujadili mbinu yenye nguvu kisheria ambayo itawezesha kutokomeza silaha za nyuklia ulimwenguni.

Sauti -

Harakati za kutokomeza nyuklia zaanza, nchi 40 zasema hazitoshiriki