Habari za wiki

WHO na mkakati wa kupunguza madhara ya makosa ya matumizi ya dawa

Shirika la afya ulimwenguni WHO kupitia kitengo chake cha kimataifa cha usalama na changamoto kwa mgonjwa, linanuia kukabiliana na madhaifu katika mfumo wa af

Sauti -

WHO na mkakati wa kupunguza madhara ya makosa ya matumizi ya dawa

Mabaki ya miili ya wataalamu DRC yapatikana, UM kuchunguza

Hatimaye Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa mabaki ya miili yaliyopatikana huko Kananga, jimbo la Kasai Kati nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ni ya wataalamu wawili wa kimataifa waliotoweka wiki mbili zilizopita.

Sauti -

Mabaki ya miili ya wataalamu DRC yapatikana, UM kuchunguza

Raia wengi wameuawa kwenye ukombozi Mosul: Zeid

Wito umetolewa hii leo kwa vikosi vya ulinzi na usalama nchini Iraq kuchukua "tahadhari kubwa"iwezekanavyo katika kampeni zao za kuikomboa Mosul kutoka kwa wanamgambo ISIL huku kukiwa na taarifa kwamba mamia ya raia wameuawa katika mashambulizi ya anga.

Sauti -

Raia wengi wameuawa kwenye ukombozi Mosul: Zeid

Muda unayoyoma kwa watoto wanaokabiliwa na baa la njaa, ukame na vita

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limesema watoto hawawezi kusubiri, na dola milioni 255 zinahitajika haraka ili kukabiliana

Sauti -

Muda unayoyoma kwa watoto wanaokabiliwa na baa la njaa, ukame na vita

Tunaalani vikali mauaji ya polisi 40 wa serikali DRC: UM/AU/EU

Umoja wa Mataifa, Muungano wa Africa, AU pamoja na Muungano wa Ulaya, EU wamelaani vikali ripoti za mauaji ya polisi 40 wa serikali yaliyotekelezwa na waasi wa Kamuina Nsapu katika wilaya ya Kasai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC mwezi Machi. Taarifa kamili na Rosemary Musumba

Sauti -

Tunaalani vikali mauaji ya polisi 40 wa serikali DRC: UM/AU/EU