Habari za wiki

Idadi ya wasio na chakula duniani yaongezeka- Ripoti

Ripoti mpya kuhusu hali ya janga la chakula duniani imesema idadi ya watu wasio na uhakika wa kupata chakula iliongezeka mwaka jana na kufikia watu milioni 108, ikilinganishwa na milioni 80 mwaka 2015, licha ya jitihada za kimataifa za kuhakikisha watu wana chakula cha kutosha.

Sauti -

Idadi ya wasio na chakula duniani yaongezeka- Ripoti

Ziara yangu Iraq ni kuonyesha mshikamano:Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema yuko nchini Iraq kuonyesha mshikamano wake na watu na serikali ya taifa hilo lililoghubikwa na vita.

Sauti -

Ziara yangu Iraq ni kuonyesha mshikamano:Guterres

Njaa yaongeza madhila kwa watoto Somalia-UNICEF

Amkani, si shwari tena Somalia!

Sauti -

Njaa yaongeza madhila kwa watoto Somalia-UNICEF

Sudan Kusini yasifiwa kuondoa vizuizi barabarani

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, David Shearer, amepongeza mamlaka ya mji wa Gogrial, nchini humo kwa kuondoa vizuizi 7 kati ya 9 barabarani kuanzia mwezi Februari mwaka huu ili kurahisisha upitishaji wa misaada ya kibinadamu nchini humo.

Sauti -

Sudan Kusini yasifiwa kuondoa vizuizi barabarani

IRRI na FAO wasaidia kilimo endelevu cha mpunga

Shirika la chakula na kilimo

Sauti -

IRRI na FAO wasaidia kilimo endelevu cha mpunga