Habari za wiki

Wenye usonji wanakosa haki za msingi za binadamu

Kwa kuzingatia haki za msingi za binadamu kwa watu wenye usonji, dunia inaishi kizani , kwa mujibu wa mtaalamu wa masuala ya usonji.

Sauti -

Wenye usonji wanakosa haki za msingi za binadamu

DRC inahitaji usaidizi zaidi bajeti sasa kuliko wakati mwingine: Balozi Mahiga

Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika ya Mashariki  wa Tanzania Balozi Augustine Mahiga amesema jumuiya ya kimataifa inapaswa kuhakikisha bajeti kwa ajili ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo DRC,

Sauti -

DRC inahitaji usaidizi zaidi bajeti sasa kuliko wakati mwingine: Balozi Mahiga

Neno la wiki- Misele

Katika neno la wiki hii leo tunaangazia matumizi yasiyo sahihi ya neno Misele Mchambuzi wetu  Nuhu Zuberi Bakari, ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa masuala ya mawasiliano kwenye Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA anasema neno misele ni aina ya dawa lakini linatumika kumaanisha kutia

Sauti -

Neno la wiki- Misele

Mshikamano wahitajika zaidi hivi sasa kusaidia raia huko Mosul- Guterres

Akiwa bado Mashariki ya Kati kwa ziara katika ukanda huo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres leo ametembelea kambi ya wakimbizi ya Hassan Sham, kaskazini mwa Iraq.

Sauti -

Mshikamano wahitajika zaidi hivi sasa kusaidia raia huko Mosul- Guterres

Makabila madogo Somalia yaomba serikali izuie ubaguzi

Ujumbe wa Muungano wa Afrika nchini Somalia, AMISOM pamoja na serikali ya Denmark, wamehitimisha mkutano wa ngazi ya juu wa siku tatu mjini Mogadishu, Somalia, uliojadili ujumuishaji na ukuzaji wa makabila madogo katika masuala ya nchi kwa lengo la kukuza amani na utulivu.

Sauti -

Makabila madogo Somalia yaomba serikali izuie ubaguzi