Habari za wiki

Nina matumaini makubwa na sitisho la mapigano Syria: De Mistura

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekuwa na mashaurio hii leo kuhusu Syria ambapo baada ya kikao mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Syria Staffan de Mistura amewaambia waandishi wa habari kuwa ana matumaini makubwa kuwa sitisho la mapigano nchini huko litaendelea kudumu zai

Sauti -

Nina matumaini makubwa na sitisho la mapigano Syria: De Mistura

Udhibiti wa mipaka kwa misingi ya rangi, kabila utaifa haufai- Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António  Guterres amesema ingawa nchi zina haki na wajibu wa kulinda mipaka yao dhidi ya vikundi vya kigaidi, mipango hiyo haipaswi kutekekelezwa kwa misingi ya kidini, kabila au utaifa.

Sauti -

Udhibiti wa mipaka kwa misingi ya rangi, kabila utaifa haufai- Guterres

Nuru ya elimu hatimaye kung'aa Sudan Kusini

Nchini Sudan Kusini shule 60 zimehamishwa kutoka maeneo yenye mapigano ya Yei na kupelekwa katika eneo salama ndani ya mji kabla ya muhula mpya wa shule kuanza Februari 6. Taarifa zaidi na Rosemay Musumba.

(Taarifa ya Rose)

Sauti -

Nuru ya elimu hatimaye kung'aa Sudan Kusini

Vijana wajitolee wasisubiri kusukumwa- Githaiga

Bila kujitolea hakuna miujiza ya maendeleo! Hii ni kauli ya mmoja wa washiriki kijana katika kongamano kuhusu nafasi ya vijana katika kutokomeza umasikini na kuchagiza maendeleo katika dunia inayobadilika, linaoendelea hapa mjini New York.

Sauti -

Vijana wajitolee wasisubiri kusukumwa- Githaiga

Wakimbizi Nyarugusu wapatiwa fedha taslimu-WFP

Wakimbizi wapatao 10,000 katika kambi ya Nyarugusu, mkoani Kigoma, nchini Tanzania wanapatiwa fedha taslimu kutoka shirika la mpango wa chakula duniani, WFP ili kujipatia mahitaji ya chakula.

Sauti -

Wakimbizi Nyarugusu wapatiwa fedha taslimu-WFP