Habari za wiki

Neno la wiki- Mnywanywa

Neno la wiki- Mnywanywa

Katika neno la wiki tunachambua neno mnywanywa, mchambuzi wetu leo ni, Nuhu Zuberi Bakari ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa Maswala ya Mawasiliano kwenye Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA. Neno mnywanywa kama anayvofafanua Nuhu Bakari lina maana mbili.

Sauti -

Pazia lafungwa, ajenda mpya ya miji yapitishwa sasa ni utekelezaji:Clos

Pazia lafungwa, ajenda mpya ya miji yapitishwa sasa ni utekelezaji:Clos

Mkutano mkubwa kabisa wa mustakhbali wa miji duniani kwa miaka 20 ijayo, umefunga pazia hii leo mjini Quito, kwa Katibu mkuu wa mkutano wa Umoja wa Mataifa wa tatu wa makazi HABITAT III kutangaza kuwa “historia imeandikwa kwa pamoja”

Sauti -