Habari za wiki

India yawa nchi ya 62 kuridhia mkataba wa Paris:

India yawa nchi ya 62 kuridhia mkataba wa Paris:

India imekuwa taifa la 62, kuridhia mkataba wa Paris wa mabadiliko yatabia nchi. Akipongeza hatua hiyo ya India kutia saini mkataba Jumapili Oktoba 3 kwenye makao makuu ya Umoja wa mataifa , ambayo pi ni siku ya kimataifa ya kupinga machafuko, Katibu Mkuu wa Umoja huo Ban Ki-moon amesema

Sauti -

Utamaduni wa kupinga machafuko, unaanza kwa kuheshimu wengine:Ban

Utamaduni wa kupinga machafuko, unaanza kwa kuheshimu wengine:Ban

Kila mwaka siku ya kimataifa ya kupinga machafuko hujikita katika kuchagiza amani kwa kufuata mfano wa maisha Mahatma Gandhi ambaye alizaliwa siku hiyo, Oktoba pili , miaka 147 iliyopita.

Sauti -

Chukua msimamo dhidi ya uzee:UM

Chukua msimamo dhidi ya uzee:UM

Umoja wa Mataifa unaadhimisha siku ya kimataifa ya wazee kwa kuzichagiza nchi kutoa kipaumbele na kukabiliana na changamoto ya unyanyapaa na Imani potofu dhidi ya wazee na uzee, na pia kuwawezesha wazee kutambua umuhimu wao katika kuwa na maisha bora ya kiutu na kuzingatia haki za binadamu.

Sauti -

UNHCR na nchi za Afrika wakubaliana hatima ya wakimbizi wa Rwanda,

UNHCR na nchi za Afrika wakubaliana hatima ya wakimbizi wa Rwanda,

Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR na ujumbe kutoka nchi za Afrika , pamoja na Muungano wa Afrika ijumaa wameafik

Sauti -