Habari za wiki

Shambulio la ubalozi wa Urusi Syria lalaaniwa vikali

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani vikali shambulio la bomu katika ubalozi wa Urusi lililotokea jana kwenye mji mkuu wa Syria, Damascus.
Sauti -

Neno la wiki- matumizi potofu ya wingi wa maneno

Neno la wiki- matumizi potofu ya wingi wa maneno

Katika Neno la Wiki hii  Oktoba 28 tunaangazia matumizi potofu ya wingi kwenye maneno yasiyopaswa kuwekewa wingi. Maneno hayo ni: uamuzi, kuboresha na saa. Mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, huko nchini Tanzania.

Sauti -

ICC ichunguze hima mauaji ya watoto 22 na walimu sita Syria: Brown