Habari za wiki

Watu milioni 5 wakabiliwa na njaa Somalia:WFP

Watu milioni 5 wakabiliwa na njaa Somalia:WFP

Zaidi ya watu milioni tano nchini Somalia hawana chakula cha kutosha, na zaidi ya milioni moja kati yao wanahitaji msaada wa kuokoa maisha, amesema mkuu wa shirika la mpango wa chakula duniani

Sauti -

Ban azungumza na Rais Zuma kuhusu ICC

Ban azungumza na Rais Zuma kuhusu ICC

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo amekuwa na mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Afrika ya Kusini Jacob Zuma, akimshukuru kwa mchango wake katika masuala ya amani Afrika na suala la mabadiliko ya tabianchi.
Sauti -

Shambulio la ubalozi wa Urusi Syria lalaaniwa vikali