Habari za wiki

Ban ahuzunishwa na mapigano Sudan Kusini

Ban ahuzunishwa na mapigano Sudan Kusini

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameelezea kusikitishwa kwake kufuatia mapigano yanayoendelea kati ya jeshi la Sudan SPLA na vikundi vyenye silaha mjini Wau,  na maeneo jirani  nchini Sudan

Sauti -

Jumuiya ya Ulaya chondechonde wathaminini wakimbizi,wahamiaji: Ban

Jumuiya ya Ulaya chondechonde wathaminini wakimbizi,wahamiaji: Ban

Akiwa ziarani nchini Ufaransa, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesisisitiza kuwa uamuzi wa Uingereza kujitoa katika jumuiya ya Ulaya EU, haupasiwi kuwa mzigo kwa wakimbizi, wahamiaji na w

Sauti -

Umuhimu wa mabaharia utambuliwe : IOM

Umuhimu wa mabaharia utambuliwe : IOM

Baharini kwa wote ni kauli mbiu inayotumika kwa ajili ya kuadhimisha siku ya kimataifa ya mabaharia leo Juni 25, 2016.

Sauti -

Neno la wiki- Nadi

Neno la wiki- Nadi

Katika Neno la Wiki hii  Ijumaa Juni 24 tunaangazia neno nadi na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, huko nchini Tanzania.

Sauti -