Habari za wiki

Vita dhidi ya ugaidi isioteshe zaidi mbegu ya chuki: Ban

Vita dhidi ya ugaidi isioteshe zaidi mbegu ya chuki: Ban

Katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa kumefanyika kikao cha kamati ya umoja huo cha kukabiliana na ugaidi ambapo Katibu Muu Ban Ki-Moon ametanabaisha kuwa harakati zozote za kudhibiti vitendo hivyo vizingatie haki za binadamu.

Sauti -

Mjadala mkuu wahitimishwa, mambo muhimu yamewasilishwa:Kutesa

Mjadala mkuu wahitimishwa, mambo muhimu yamewasilishwa:Kutesa

Mjadala Mkuu wa mkutano wa 69 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa umefikia ukingoni adhuhuri ya Jumanne tarehe 30 Septemba mjini New York, ambapo Rais wa Baraza hilo, Sam Kutesa amesema ushiriki wa dhati wa viongozi wa nchi wanachama umedhihirisha vile ambavyo wanachama wanatilia umuhimu wa chombo

Sauti -

Guterres atoa wito ufadhili wa kibinadamu ufikiriwe upya idadi ya wakimbizi inapoongezeka

Guterres atoa wito ufadhili wa kibinadamu ufikiriwe upya idadi ya wakimbizi inapoongezeka

Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, António Guterres ameonya leo kuwa mfumo wa kimataifa wa kibinadamu umezidiwa na

Sauti -