Habari za wiki

Hali ya Ukraine yatia shaka Baraza la Usalama

Hali ya Ukraine yatia shaka Baraza la Usalama

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa alasiri ya leo limekuwa na kikao cha dharura na cha faragha kuhusu hali ilivyo nchini Ukraine.

Sauti -

Kumbukizi ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari Rwanda yafanyika Umoja wa Mataifa

Kumbukizi ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari Rwanda yafanyika Umoja wa Mataifa

Tunaungana kudhihirishia ulimwengu kuwa tunapinga tofauti zisizo za kiasili zilizowekwa na wakoloni na kutuletea madhara, ni kauli ya Mwakilishi wa kudumu wa Rwanda kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Eugene-Richard Gasana, wakati wa kumbukizi ya miaka 20 tangu mauaji ya kimbari nchini Rwanda, Kwibuka

Sauti -