Habari za wiki

Usafirishaji kifaa muhimu cha kemikali Syria waweza pata mkwamo: OPCW-UM

Tume ya pamoja ya Umoja wa Mataifa na Shirika la kimataifa la kupinga silaha za kemikali, OPCW ambayo ina jukumu la kuteketeza mpango wa silaha za kemikali nchini Syria, imesem inaendelea na kazi hiyo huku ikisema kuwa mipango ya kuondoa kifaa muhimu kinachohusika na utengenezaji wa silaha hizo i

Sauti -

Usafirishaji kifaa muhimu cha kemikali Syria waweza pata mkwamo: OPCW-UM

Ban akaribisha makubaliano ya kusitisha mapigano Sudan Kusini na kuteuliwa wapatanishi wa IGAD

Normal

0

false

false

false

EN-GB

X-NONE

X-NONE

MicrosoftInternetExplorer4

DefSemiHidden="true" DefQFormat="false" DefPriority="99"

LatentStyleCount="267">

UnhideWhenUsed="false" QFormat="true" Name="Normal"/>

Sauti -

Ban akaribisha makubaliano ya kusitisha mapigano Sudan Kusini na kuteuliwa wapatanishi wa IGAD

Ban alaani shambulio mjini Beirut

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani vikali shambulio la bomu katika gari mjini Beiruti lililouwa watu sita akiwemo waziri wa zamani wa biashara Muhamed Chatah na kujeruhi kadhaa .

Sauti -

Ban alaani shambulio mjini Beirut

Ofisi ya haki za binadamu yaelezea hofu yake kuhusu sheria inayopinga mapenzi ya jinsia moja Uganda

Ofisi ya haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa, hii leo imeelezea hofu yake kufuatia kupitishwa kwa mswada wa sheria inayopinga mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda mnamo Ijumaa ya tarehe 20 Disemba wiki ilopita.

Sauti -

Ofisi ya haki za binadamu yaelezea hofu yake kuhusu sheria inayopinga mapenzi ya jinsia moja Uganda

Watu waliopoteza makazi Sudan Kusini wafikia 121,600

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na misaada ya kibinadamu OCHA, limesema kuwa kiasi cha watu 121,600 wamepoteza makazi huko Sudan Kusin kutokana na machafuko yaliyozuka mwezi disemba na kunauwezekano idadi hiyo ikaongezeka zaidi.Taarifa zaidi na Grace Kaneiya.

Sauti -

Watu waliopoteza makazi Sudan Kusini wafikia 121,600