Habari za wiki

Harakati za kumaliza mzozo Sudan Kusini zahamia Ethiopia

Nchini Sudan Kusini  yaripotiwa mapigano makali yanaendelea kwenye mji wa Bor katika jimbo la Jonglei ambako hivi karibuni kuliripotiwa kuwa majeshi ya serikali yamejizatiti kuutwaa mji huo kutoka kwa waasi. Waasi hao yasadikiwa ni wafuasi wa Makamu wa Rais wa zamani Riek Machar.

Sauti -

Harakati za kumaliza mzozo Sudan Kusini zahamia Ethiopia

Hali Sudan Kusini bado mbaya, mapigano yanaendelea

Hali ya usalama nchini Sudan Kusini bado ni mbaya kwani mapigano bado yanaendelea na idadi ya wanaosaka hifadhi kwenye ofisi za ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo,

Sauti -

Hali Sudan Kusini bado mbaya, mapigano yanaendelea

Kikao cha 56 cha Mkataba kuhusu Haki za Watoto kufanyika Geneva Januari 13-31, 2014

Kikao cha sitini na tano cha Kamati ya Mkataba kuhusu Haki za Watoto kitafanyika kwenye ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva kuanzia tarehe 13 hadi tarehe 31 Januari hapo mwakani. Katika kikao hicho, ripoti za hali ya haki za watoto katika nchi mbali mbali wanachama zitatolewa.

Sauti -

Kikao cha 56 cha Mkataba kuhusu Haki za Watoto kufanyika Geneva Januari 13-31, 2014

UNHCR yasambaza vifaa vya kujikinga na baridi kali kwa wakimbizi wa Syria

Vifaa vya kujikinga na baridi kali vilivyosafirishwa kwa ndege hadi Kaskazini Mashariki mwa Syria wiki mbili zilizopita, sasa vimeanza kusambazwa kwa zaidi ya wananchi Elfu Hamsini walio kwenye mazingira hayo magumu.

Sauti -

UNHCR yasambaza vifaa vya kujikinga na baridi kali kwa wakimbizi wa Syria

UNICEF na wadau waokoa maisha ya wakimbizi watoto huko Chad

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linaendelea na usaidizi wake kwa raia waliokimbilia Chad kutokana na machafuko yanyoendele

Sauti -

UNICEF na wadau waokoa maisha ya wakimbizi watoto huko Chad