Habari za wiki

Virusi vya MERS Corona vyabainika kwa ngamia Qatar:WHO

Shirika la afya duniani WHO litatoa ripoti ya uchunguzi kutoka Qatar inayoashiria kuwepo kwa virusi vya MERS Corona miongoni mwa ngamia.

Sauti -

Virusi vya MERS Corona vyabainika kwa ngamia Qatar:WHO

Watoto wakimbizi kutoka Syria wanabiliwa na wakati mgumu siku za baadaye: UNHCR

Watoto wa wakimbizi walio nchini Lebanon na Jordan wanakabiliwa na wakati mgumu siku za baadaye huku wakiwa wanalazimika kufanya kazi kutafutia familia zao au wakiwa wanalazimishwa kujiunga na makundi yaliyojihami kwa mujibu wa  shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Watoto wakimbizi kutoka Syria wanabiliwa na wakati mgumu siku za baadaye: UNHCR

Sudan Kusini yazidi kutekeleza hukumu ya kifo hata baada ya kutia sahihi makubaliano ya UM

Ofisi ya haki za bindamu ya Umoja wa Mataifa inasema kuwa watu wanne wamenyongwa nchini Sudan Kusini huku wengine 200 wakiwa kwenye  orodha ya kusubiri kunyongwa. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)

Sauti -

Sudan Kusini yazidi kutekeleza hukumu ya kifo hata baada ya kutia sahihi makubaliano ya UM

Idadi ya walioathirika na kimbunga Haiyan sasa ni zaidi ya milioni 14:OCHA

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na misaada ya kiutu OCHA linasema kuwa idadi ya watu walioathirika na kimbuka Haiyan nchini Ufilipino imezidi kupindukia.

Sauti -

Idadi ya walioathirika na kimbunga Haiyan sasa ni zaidi ya milioni 14:OCHA

Maambukizi mapya ya Ukimwi yapungua: UNAIDS

Wakati dunia inaelekea kuadhimisha siku ya Ukimwi duniani tarehe Mosi Disemba, habari njema ni kwamba idadi ya maambukizi mapya ya virusi vinavyosababisha Ukimwi imepungua.

Sauti -

Maambukizi mapya ya Ukimwi yapungua: UNAIDS