Habari za wiki

Baraza la Usalama lajadili hali nchini Mali

Kwa mara nyingine tena, hali nchini Mali imekuwa suala la kuangaziwa katika mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Joshua Mmali amekuwa akiufuatilia mkutano huo.

(TAARIFA YA JOSHUA MMALI)

Normal

0

false

false

false

Sauti -

Baraza la Usalama lajadili hali nchini Mali

Utapiamlo waigharimu Ethiopia asilimia 16.5 ya pato lake la kitaifa

Taifa la Ethiopia linapoteza karibu asilimia 16.5 ya pato lake la kitaifa kutokana na athari za muda zinazotokana na utapiamlo miongoni mwa watoto kwa mujibu wa Shirika la mpango wa chakula duniani WFP.

Sauti -

Utapiamlo waigharimu Ethiopia asilimia 16.5 ya pato lake la kitaifa

Nchi saba barani Afrika zapunguza maambukizi ya Ukimwi kwa watoto: UNAIDS

Ripoti mpya kuhusu mipango ya kimataifa ya kupunguza na kumaliza maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi miongoni mwa watoto ifikapo mwaka 2015 na kuwaongozea maisha mama zao imeonyesha hatua zilizopigwa katika kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi miongoni mwa watoto barani Afrika .

Sauti -

Nchi saba barani Afrika zapunguza maambukizi ya Ukimwi kwa watoto: UNAIDS

Hali mbaya Syria yaondoa matumaini ya mazungumzo ya amani:

Umoja wa Mataifa, Urusi na Marekani wanakutana mjini Geneva kwa duru ya pili ya mazungumzo ya kufanyika kwa mkutano wa kimataifa kuhusu Syria.

Sauti -

Hali mbaya Syria yaondoa matumaini ya mazungumzo ya amani:

Ban alaani mauaji ya wanajeshi Lebanon katika shambulizi

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

Sauti -

Ban alaani mauaji ya wanajeshi Lebanon katika shambulizi