Habari za wiki

Akizungumzia kuchanuka kwa Afrika Ban pia akumbuka afya ya Mandela

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema mmoja wa majabali ya Afrika kwa karne ya 20 Mzee Nelson Mandela yu mahututi hospitali na kusema kuwa mawazo na sala za kila mmoja zinaelekezwa kwake, familia yake, watu wa Afrika ya Kusini na dunia nzima ambao wameguswa na ujasiri na maisha yake

Sauti -

Akizungumzia kuchanuka kwa Afrika Ban pia akumbuka afya ya Mandela

Msimu wa kiangazi waleta furaha kwa watoto wa kipalestina: UNRWA-EU

Kwa mwaka wa tatu mfululizo, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa kipalestina, UNRWA kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya, EU wamekuwa wakihakikisha msimu wa kiangazi unakuwa wa furaha kwa watoto wakimbizi wa Kipalestina wapatao Elfu Sita kwenye Ukingo wa Magharibi wa mto Jordan.

Sauti -

Msimu wa kiangazi waleta furaha kwa watoto wa kipalestina: UNRWA-EU

Baa la nzige latishia uhaba wa chakula Madagascar: FAO

Nchini Madagascar baa la nzige ambalo udhibiti wake unatia mashaka linaripotiwa kutishia usalama na uhakika wa chakula nchini humo kwa mujibu wa shirika la chakula na kilimo duniani,

Sauti -

Baa la nzige latishia uhaba wa chakula Madagascar: FAO

Operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa zamulikwa

MjiniNew York, Marekani hii leo Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limepokea taarifa za utendaji wa vikosi vya ulinzi wa amani vya umoja huo, zikiwasilishwa na makamanda wa vikosi hivyo ambao wamekuwa wakikutana hapa kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa. Joshua Mmali na ripoti kamili.

Sauti -

Operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa zamulikwa

Mradi mpya Burkina Faso kuwezesha nchi hiyo kukabiliana na utapiamlo

Kufuatia uhaba wa chakula hukoBurkina Fasomwaka 2012, shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa, WFP nchini humo limeanzisha mradi mpya wa kuchagiza jamii kuibuka katika mgogoro huo wa chakula na hatimaye kuweza kukabiliana na halikamahiyo baadaye iwapo itatokea huku pia ikipunguza utapiam

Sauti -

Mradi mpya Burkina Faso kuwezesha nchi hiyo kukabiliana na utapiamlo