Habari za wiki

UNHCR kusaidia wakimbizi wa Mali kupiga kura ugenini

Ukiwa umesalia mwezi mmoja kabla ya uchaguzi mkuu wa Rais nchiniMalihapo Julai 28, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR

Sauti -

UNHCR kusaidia wakimbizi wa Mali kupiga kura ugenini

MONUSCO NA UNICEF zaitaka DRC ichunguze ubakaji wa watoto

Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, DRC, Roger Meece na Mkuu wa Shirika la Kuwasaidia Watoto katika Umoja wa Mataifa,

Sauti -

MONUSCO NA UNICEF zaitaka DRC ichunguze ubakaji wa watoto

Msaidizi wa Katibu Mkuu Feltman azuru Mogadishu kufuatia shambulizi

Mkuu wa masuala ya kisiasa katika Umoja wa Mataifa, Jeffrey Feltman, amefanya ziara nchini Somalia leo kufuatia shambulizi la hivi karibuni kwenye ofisi za Umoja wa Mataifa, UNSOM, na kusisitiza uungaji mkono wa dhati wa Umoja wa Mataifa kwa serikali ya Somalia na watu wake.

Sauti -

Msaidizi wa Katibu Mkuu Feltman azuru Mogadishu kufuatia shambulizi

Miaka 20 baada ya makubaliano ya Vienna bado ukatili waendelea: Pillay

Kamishna Mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Navi Pillay amesema licha ya mafanikio makubwa  tangu kuanza kutekelezwa kwa makubaliano kuhusu haki za binadamu mjini Viennamwaka 1993, bado makubaliano hayo yamekabiliwa na changamoto nyingi. Grace Kaneiya na ripoti zaidi.

Sauti -

Miaka 20 baada ya makubaliano ya Vienna bado ukatili waendelea: Pillay

Watoto wanaofanya kazi katika sekta ya uvuvi walindwe:FAO/ ILO

Serikali zimetakiwa kuchukua hatua madhubuti za kuwalinda watoto kutokana na madhara ya kazi katika sekta za uvuvi na ufugaji wa viumbe vya majini . Kauli hiyo imetolewa na shirika la kilimo na chakula

Sauti -

Watoto wanaofanya kazi katika sekta ya uvuvi walindwe:FAO/ ILO