Habari za wiki

Sote tuna wajibu wa kutokomeza adhabu ya kifo: Ban

Tuna wajibu wa kuzuia watu wasio na hatia kuwa wahanga wa ukiukwaji wa haki, hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon aliyotoa kwenye kikao cha ngazi ya juu mjini New York Marekani kuhusu utokomezaji wa adhabu ya kifo.Bwana Ban amesema njia ya kiungwana zaidi ni kuachana na ad

Sauti -

Sote tuna wajibu wa kutokomeza adhabu ya kifo: Ban

Hadhi ya ukimbizi kwa wanyarwanda kukoma mwisho wa mwezi huu: UNHCR

Takribani wanyarwanda 100,000 wanaosihi uhamishoni huenda wakapoteza hadiyaoya ukimbizi ifikapo tarehe 30 mwezi huu kwa mujibu wa Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa,

Sauti -

Hadhi ya ukimbizi kwa wanyarwanda kukoma mwisho wa mwezi huu: UNHCR

Hali ya wakimbizi wa ndani CAR ingali tete: WFP

Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, WFP limesema hali ya wakimbizi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati bado ni tete, na kwamba hali hii huenda ikaathiri vibaya mno kampeni ya sasa ya kilimo ya mwaka 2013 hadi 2014. Joseph Msami na maelezo zaidi

(TAARIFA YA JOSEPH MSAMI)

Sauti -

Hali ya wakimbizi wa ndani CAR ingali tete: WFP

Kipindupindu chaua watu 257 huko Jamhuri ya Kidemokrasia y a Kongo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC yaelezwa kuwa kipindupindu kimesababisha vifo vya watu 257 kwenye jimbo laKatanga kati ya Elfu Kumi na Mmoja waliopata ugonjwa huo tangu mwanzoni mwa mwaka huu.Taarifa hizo ni kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu misaada ya kibinadamu OCHA ka

Sauti -

Kipindupindu chaua watu 257 huko Jamhuri ya Kidemokrasia y a Kongo

IOM imeanza kufikisha msaada kwa wakimbizi wa Syria waioko Lebanon

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limeanza kufikisha msaada kwa wakimbizi wa Syria 26,000 familia zinazowahifadhi na familia za Kilebanon zinazorejea huko Kusini mwa Lebanon.Operesheni za IOM zilisitishwa kwa muda mwishoni mwa wiki iliyopita kutokana na mapigano ya Jumapili kati ya jeshi la se

Sauti -

IOM imeanza kufikisha msaada kwa wakimbizi wa Syria waioko Lebanon