Habari za wiki

Baraza la Usalama lapongeza kujisalimisha Ntaganda ICC

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limesifu kitendo cha mtuhumiwa wa uhalifu wa kivita Bosco Ntaganda kujisalimisha kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu,

Sauti -

Baraza la Usalama lapongeza kujisalimisha Ntaganda ICC

IOM yataka wahamiaji wajumuishwe kwenye tiba ya TB

Wakati ulimwengu ukiadhimisha siku ya kimataifa ya Kifua Kikuu tarehe 24 mwezi huu, Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limataka kujumuishwa kwa wahamiaji kwenye mikakati  ya kuzuia ugonjwa wa kifua kikuu.

Sauti -

IOM yataka wahamiaji wajumuishwe kwenye tiba ya TB

Ushirikiano zaidi wahitajika kudhibiti matumizi ya maji: Jeremic

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Vuk Jeremic, amesema ni vigumu kutokomeza umaskini na kuhakikisha afya nzuri bila maji safi na salama.  Akizungumza wakati wa mkutano wa Baraza Kuu kuhusu ushirikiano kuhsu maji, Bwana Jeremic amesema maji ndicho chanzo cha uhai, na wakati huu wa kuadhimish

Sauti -

Ushirikiano zaidi wahitajika kudhibiti matumizi ya maji: Jeremic

Wakazi wa Jonglei wakimbilia mtoni kuokoa maisha yao: OCHA

Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaada ya kibinadamu OCHA ,  nchini Sudan Kusini ,  imetoa taarifa kuhusu usalama wa wakazi wa jimbo la Jonglei kufuatia  mapigano kati ya majeshi ya serikali na vikundi vyenye  silaha ambapo baadhi ya watu wamejeruhiwa huku wengine wakikimbilia misituni.

Sauti -

Wakazi wa Jonglei wakimbilia mtoni kuokoa maisha yao: OCHA

ICC yapongeza taarifa kuwa Ntaganda sasa anaelekea The Hague

Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu, ICC, Fatou Bensouda ameunga mkono taarifa ya kwamba mtuhumiwa wa makosa ya kihali

Sauti -