Habari za wiki

Ofisi za UM Bangui zaporwa: OCHA

Kutokana na hali ya usalama kuwa tete huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, Umoja wa Mataifa umesema utawaondoa wafanyakazi wake wasiohitajika kutoka  mji mkuu Bangui baada ya waasi kutwaa mamlaka ya nchi hiyo.  Watakaohamishwa watapelekwa kwenye makao ya muda mjini Yaounde nchini Cameroon.

Sauti -

Ofisi za UM Bangui zaporwa: OCHA

Kuimarika kwa usalama Somalia, wavuvi wajikwamua

Kufuatia kuimarika kwa hali ya usalama nchini Somalia baada ya majeshi ya Kikosi cha muungano wa Umoja wa Afrika AMISOM kwa kushirikiana na majeshi ya serikali ya nchi hiyo kukiondoa kikundi cha kigaidi cha Alshabaab mjini Mogadishu, wakazi wa mji huo sasa wanaendelea na shughuli za kukuza kipato

Sauti -

Kuimarika kwa usalama Somalia, wavuvi wajikwamua

Umoja wa Mataifa wawakumbuka waathiriwa wa utumwa

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, leo linafanya hafla maalum ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya waathirika wa utumwa na biashara ya utumwa iliyofanyika kupitia Bahari ya Atlantiki.

Sauti -

Umoja wa Mataifa wawakumbuka waathiriwa wa utumwa

UNWRA yalaani mauaji ya watoto wa Kipalestina nchini Syria

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na uratibu wa misaada ya usamaria mwema kwa wakimbizi wa Kipalestina UNWRA, limelaani vikali tukio la mauaji ya wakimbizi watoto watano wa kipalestina nchini Syria na kuonya uwezekano wa mzozo huo kuvuruga ustawi wa vijana.  Kulingana na taarifa za UNWRA,k

Sauti -

UNWRA yalaani mauaji ya watoto wa Kipalestina nchini Syria

Ban ataka utulivu Jamhuri ya Afrika ya Kati

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani kile alichokiita kuchukua madaraka kwa njia isiyo ya kikatiba kulikofanywa na waasi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Sauti -

Ban ataka utulivu Jamhuri ya Afrika ya Kati