Habari za wiki

Ban kutoa mkakati wa mtazamo wake wa maendeleo baada ya 2015

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amesema mnamo mwezi Septemba kwenye hafla maalum, atawasilisha mkakati wa kina kuhusu mtazamo wa maendeleo baada ya mwaka 2015, ambayo ndiyo tarehe ya mwisho ya kufikia malengo ya maendeleo ya milenia.

Sauti -

Ban kutoa mkakati wa mtazamo wake wa maendeleo baada ya 2015

Maelfu ya wakimbizi wakwamuliwa Myanmar

Baada ya machafuko ya muda mrefu katika jimbo la Kachin nchiniMyanmar,Umoja wa Mataifa umefanikwa kuwakwamua maelfu ya wakimbizi wa ndani kwa kuwajrngea kambi salama za muda.

Sauti -

Maelfu ya wakimbizi wakwamuliwa Myanmar

Simu za mkononi zatumika kuboresha sekta ya ufugaji nchini Kenya: FAO

Wakulima na madaktari wa mifugo kote barani Afrika kwa sasa wanatumia kwa wingi simu za mkononi kutoa tahadahri kuhusu mikurupuko ya magonjwa mapema zaidi na pia wakati wa kampeni za utoaji wa chanjo za mifugo.

Sauti -

Simu za mkononi zatumika kuboresha sekta ya ufugaji nchini Kenya: FAO

Zaidi ya watu milioni nne kukumbwa na uahaba wa chakula Sudan Kusini

Inakadiriwa kuwa karibu watu milioni 4.1 kusini mwa Sudan huenda wakakumbwa na uhaba wa chakula mwaka huu kwa mujibu wa ripoti mpya ya Shirika la kilimo na mazao la Umoja wa Mataifa

Sauti -

Zaidi ya watu milioni nne kukumbwa na uahaba wa chakula Sudan Kusini

IOM yajiandaa kutoa misaada ya kibinadamu kabla ya uchaguzi wa Kenya

 Shirika la Kimataifa la Uhamiaji, IOM, limesema linaweka mikakati ya kujiandaa kutoa misaada ya kibinadamu nchini Kenya, siku chache kabla ya uchaguzi nchini humo hapo Jumatatu.

Sauti -